Tazama Video Mpya Ya Msanii Wa Muziki Wa Gospel Kutoka
Nchini Kenya Ambaye Mara Nyingi Muziki Wake Anautumia Kama Njia Ya Kuwavutia
Vijana Kutokana Na Mahadhi Ya Muziki Wake.
Kupitia Wimbo Wake Huu Mpya Willy Paul Ambaye Amefanya
Vizuri Na Wimbo Wake Uitwao I Do Akiwa Ameshirikiana Na Alaine Kutoka Jamaica.
Wimbo Unaitwa “Tempted”Akiwa Amewataja Warembo
Maaruufu Kutoka Kenya Vera Sidika Na Huddah Monroe Kuwa Ni Moja Ya Watu Ambao
Hawawezi Hata Kumshawishi Hata Kidogo.
WILLY PAUL - TEMPTED
Reviewed by Natty
on
December 15, 2017
Rating:

No comments: