NASTY C & RUNTOWN - SAID (OFFICIAL MUSIC VIDEO)


Msimu Wa Coke Studio Africa Mwaka 2017 Umekuwa Na Matunda Mazuri Kwa Wasanii Wengi Kutoka Afrika Kupata Nafasi Ya Kufanya Kazi Na Wasanii Mbali Mbali.
Runtown Kutoka Nigeria Ni Moja Ya Msanii Ambaye Kwa Mwaka 2017 Amepata Nafasi Ya Kushiriki Katika Jukwaa La Coke Studio Pamoja Na Msanii Wa Muziki Wa Hiphop Kutoka Afrika Kusini Nasty C Ambaye Pia Ni Moja Ya Masanii Anayetazamwa Sana Kwa Sasa.

Wasanii Hawa Licha Ya Kufanya Vyema Katika Jukwaa La Coke Studio Wameamua Kufanya Kazi Hii Pamoja Iitwayo Said Na Video Ya Wimbo Huo Tumekusogezea Karibu Uweze Kuataza Na Kufurahia
Video Imeongozwa Na Justin Campos Huko South Africa.


NASTY C & RUNTOWN - SAID (OFFICIAL MUSIC VIDEO) NASTY C & RUNTOWN - SAID (OFFICIAL MUSIC VIDEO) Reviewed by Natty on December 15, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.