Baada ya kuachia video yake ya ‘Bado’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz yenye "views" zaidi ya milioni tano(5) youtube, leo July 4 2016 Harmonize ameachia video yake ya tatu ‘Matatizo’ Harmonize amechia video ya wimbo ambao hakuwa ametoa audio yake ila ameamua kuanza na video moja kwa moja. Audio imepikwa ndani ya studio kali ya wasafirecords huku video ikisimamiwa na Pablo director toka hapa hapa bongo.
(After releasing his video for 'Bado' featuring Diamond Platnumz that has over five million (5) youtube "views", today July 4 2016 Harmonize released his third video 'Matatizo' which He decided to start with the video directly. The audio was cooked in wasafirecords and the video was directed by Pablo also from Tanzania.
WATCH THE VIDEO BELOW!

NEW VIDEO: HARMONIZE - MATATIZO
Reviewed by loy1
on
July 04, 2016
Rating:

No comments: