Baaada ya kufanya vizuri na ngoma yake "Hallelujah" aliyowashirikisha "Morgan Heritage" baadaye akatoa ngoma mbili kwa mpigo "Sikomi" na "Niache", sasa CEO wa WCB Wasafi ameachia video ya wimbo wake mpya "Sikomi" iliyotayarishwa na Zoom production. Itazame hapa WATCH THE VIDEO BELOW
VIDEO: DIAMOND PLATNUZM - SIKOMI
Reviewed by loy
on
December 06, 2017
Rating: 5
No comments: