Here We Go Ni Moja Ya Ngoma Ambayo Ni ya Mkali
Gabu kutoka kenya Ambaye Anawakilisha P Unit Ila Kwa Sasa Ameamua Kuanzisha Lebo Yake Ya
Muziki Na Sasa Ameanza Kufanya Kazi Japo Hii Ni Moja Kati Ya Kazi Iliyotoka
Katika Studio Yake Iitwayo Compact Records Akiwa Ameshirikiana Na Magix
Enga,Kristoff Pamoja Na Prezzo.
Tumekuwekea Karibu Kabisa Tazama Hapa Video Hiyo
‘Here We Go”
HERE WE GO - GABU X MAGIX ENGA X KRISTOFF X PREZZO
Reviewed by Natty
on
December 06, 2017
Rating:

No comments: