Wakati Tumebakiza Mwezi Mmoja Tu Kumaliza Mwaka 2017
Alikiba Ambaye Moja Ya Msanii Ambaye Pia Ni Mkurugenzi Wa Kampuni Ya Rockstar 4000 Ambayo Pia Kwa Sasa
Wanamsimamia Msanii Wa Muziki Ommy Dimpoz.
Alikiba Ameachia Wimbo Wake Mpya Ikiwa Ni Siku Moja
Baada Ya Kusherekea Kumbukumbu Yake Ya Kuzaliwa Na Wimbo Huo Unaitwa Maumivu
Per Day Wimbo Ambao Video Yake Imefanyikia Baadhi Ya Maeneo Marekani.
Lakini Amethibitisha Wimbo Huo Sio Rasmi Bali Ni Kama
Zawadi Kwa Mashabiki Zake.
ALIKIBA - MAUMIVU PER DAY (UNOFFICIAL RELEASE]
Reviewed by Natty
on
November 30, 2017
Rating:
![ALIKIBA - MAUMIVU PER DAY (UNOFFICIAL RELEASE]](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVqJhzXj8IZ1JyTQU9sx4ntZAj1LHgDxljVx41FaJLv6TRFmjrwFcnaUS8q5ZbhkC12D-yzsFXs0S_gdG540_a1TJjgILN4GT45QKxq0BHS4YXrdZyFcxEKlMD8nFlJn59kml-dJXuVoA/s72-c/uhiu.png)
No comments: