Baada Ya Kimya Cha Muda Mrefu Abdu Kiba Ameamua
Kuufunga Mwaka 2017 Kwa Zawadi Hii Kwaajili Ya Mashabiki Wake Kwa Mara Nyingine
Akiwa Ameshirikiana Vyema Na Kaka Yake Ambaye Ni Alikiba Sasa Inaweza Kuwa Ni
Historia Nyingine
WanafamIlia Hawa Wanataka Kuiandika Baada Ya Kufanya Vyema
Hapo Awali Kupitia Ngoma Ya Abdu Kiba Iitwayo Kidera,Moja Ya Wimbo Ambao
Ulifanya Vyema Sana Lakini Safari Hii Amekuja Na Single Wimbo Ambao Video Yake
Imeongozwa Na Mtayarishaji Kutoka Tanzania Anayefanya Vyema Bwana Hanscana.Tazama
Hapa..
ABDU KIBA FEAT.ALIKIBA – SINGLE
Reviewed by Natty
on
November 30, 2017
Rating:

No comments: