Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayefanya kazi chini usimamizi wa Vitamin music, Belle9 anaufungua mwaka mpya kwa ngoma mpya ya kuitwa “Mfalme” ambayo imeongozwa na Director Kevin Bosco kutoka Kenya.
Itazame hapa chini kisha acha comment yako
NEW VIDEO: BELLE9 - MFALME
Reviewed by loy
on
January 04, 2018
Rating: 5
No comments: