VIDEO: MWANA FA ft MAUA SAMA - HATA SIELEWI

Baada ya hivi karibuni kufanya vizuri na ngoma ya Upo Hapo ambayo yumo yeye, A.Y na Fid Q, Hamisi Mwinjuma ukipenda muite Mwana FA au Binamu ameachia video yake mpya ambapo katika wimbo huo amemshirikisha mwanadada, Maua Sama.
Tazama video ya wimbo huo hapa chini, kisha unaweza kuandika maoni yako pamoja na kuwashirikisha wengine.

VIDEO: MWANA FA ft MAUA SAMA - HATA SIELEWI VIDEO: MWANA FA ft MAUA SAMA - HATA SIELEWI Reviewed by loy1 on December 08, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.