Ludacris Na Mkewe Eudoxie Mbouguiengue Mwenye Asili
Ya Gabon Walifunga Ndoa Ya Haraka Na Iliyowashtua Wengi Kwa Kutokuwa Na Shamra
Shamra Na Kuifanya Ndoa Ya Siri Disemba
26 Mwaka 2014.
Hivyo Kila Ifikapo Desemba Baada Ya Sikukuu Ya
Christmas Wawili Hawa Wanasherekea Kumbukumbu Ya Ndoa Yao.
Hivyo Ikiwa Ni Siku Takribani Moja Imesalia Kufikia
Kumbukumbu Ya Ndoa Yao,Rapa Na Mwigizaji Ludacris Amemaua Kumshtukiza Mkewe Kwa
Kumpeleka Kutalii Katika Makumbusho Ambapo Ni Sehemu Ya Kusherehekea Miaka 3 Ya
Ndoa Yao Wakiwa Wenye Furaha Zaidi.
Kupitia Kurasa Zao Za Instagram Wawili Hao Waliweka Picha Za Matukio Yao Ya Furaha Kwa Pamoja Ikiwa Ni Moja Ya Jambo Linaloashiria Furaha Waliyonayo Katika Ndoa Yao.
Hizi Ni Baadhi Ya Picha Za Matukio Hayo
THE BRIDGES:LUDACRIS NA MKEWE EUDOXIE WASHEREHEKEA MIAKA MITATU YA NDOA YAO KWA STAILI HII
Reviewed by Natty
on
December 24, 2017
Rating:
No comments: