Baada Ya Mr P Peter Okoye Kuachia Single Yake Ya "For My Head" Sasa Ni Zamu Ya Rude Boy Paul Okoye Kuachia Kazi Zake Ambapo Mkali Huyo Ambaye Anaiwakilisha P Square Licha Ya Kutokuwa Katika Maelewano Mazuri Kwa Sasa Lakini Hii Ndio Ngoma Yake Mpya Inaitwa" Fire Fire" na ni ngoma ambayo imetengenezwa katika studio yake mwenyewe iitwayo rudeboy records Unaweza Kutazama Na Kutoa Maoni Yako.
RUDEBOY - FIRE FIRE
Reviewed by Natty
on
December 06, 2017
Rating:

No comments: