Rayvanny msanii kutoka WCB anayefanya vizuri Tanzania, Afrika na kuanza kujulikana sehemu mbalimbali duniani ametuletea hii hapa video ya wimbo wake mpya "Makulusa" aliowashirikisha wakali kutoka South Africa Maphorisa na DJ Buckz.
Itazame hapa chini kisha usisahau kuacha maoni yako.
WATCH THE VIDEO BELOW
Itazame hapa chini kisha usisahau kuacha maoni yako.
WATCH THE VIDEO BELOW
NEW VIDEO: RAYVANNY FT MAPHORISA & Dj BUCKZ - MAKULUSA
Reviewed by loy1
on
December 20, 2017
Rating:

No comments: