Akiwa bado anatamba na ngoma yake “Makulusa” aliyowashirikisha Dj Maphorisa na Dj Buckz iliyotoka hivi karibuni, Ravvanny wa WCB leo katuletea nyingine hii audio mpya ya ngoma yake “Siri” aliyomshirikisha Nikki wa Pili. Itazame hapa
NEW AUDIO: RAYVANNY FT NIKKI WA PILI - SIRI
Reviewed by loy
on
December 29, 2017
Rating: 5
No comments: