ROMA & STAMINA FT MAUA SAMA – KIBA_ 100


Hii Ni Video Mpya Ya Wimbo Wa Kwake Rapper Roma Pamoja Na Stamina Ambao Wameshirikiana Na Mwanadada Maua Sama,Lakini Moja Ya Kitu Kilichoonekana Kuvutia Zaidi Katika Video Hiyo Ni Baada Ya Wao Kumpa Shavu DR.Luis Shika a.k.a 900  Itapendeza Moja Ya Msemo Ambao Unatumika Zaidi Kwa Sasa Na Watu Wengi Nchini Tanzania,Tazama Hapa Unaweza Pia Kutoa Maoni Yako.

ROMA & STAMINA FT MAUA SAMA – KIBA_ 100 ROMA & STAMINA FT MAUA SAMA – KIBA_ 100 Reviewed by Natty on November 22, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.