David adeleke maarufu kwa jina la davido moja kati
ya msanii ambaye anaiwakilisha vyema nchi ya Nigeria katika ulimwengu wa muziki
afrika.
Mkali huyo ambaye kwa mwaka huu ameweka rekodi ya
ngoma kibao ikiwemo if pamoja na fall,ameamua mwaka 2017 usiishe bila ya kuwa
amewapa zawadi mashabiki wake ambazo
watazifurahia hata wakati huu.
Siku kadhaa zilizopita mkali huyo aliachia ngoma
yake iitwayo fia na sasa ameamua kuta kazi nyingine iitwayo like dat na sisi
tumekusogezea karibu uweze kutazama .
Wimbo huo umefanyika chini ya Sony Music
Entertainment International Limited.
NEW VIDEO :DAVIDO - LIKE DAT
Reviewed by Natty
on
November 24, 2017
Rating:

No comments: